“Nimeandika vitabu vingi lakini kipekee kabisa kitabu hiki nathubutu kusema kwa dhati ya moyo wangu kwamba nilichokiandika ndani asilimia 90% sijakopa mahali pengine popote pale bali ni matokeo ya uzoefu wangu binafsi wa miaka 12 katika biashara hii ya rejareja.”

- Peter A. Tarimo
Nani

Kakudanganya

duka halilipi?

 

Utaambiwa, “Oo..sijui biashara ya duka haina faida”, chuma ulete ni wengi sana, na mambo mengine chungu nzima! Lakini usikubali ni uwongo. Mbona kila siku watu wanafungua maduka? Wengine wanajengea maduka hayohayo, wengine wananunua magari, viwanja, kusomesha watoto shule nzuri na hata wengine kupata mitaji kwa ajili ya kuanzishia biashara zingine kubwa kubwa?

Sasa Gundua siri nzito wanaozotumia wale wanaofanikiwa katika biashara hii ya maduka ya rejareja ili na wewe uweze kufanikiwa kwa urahisi.

Jipatie kitabu hiki;
SIRI YA MAFANIKIO YA BIASHARA: DUKA LA REJAREJA Toleo jipya la mwaka 2024 ndani ya dakika 5 tu  kupitia baruaepepe yako kwa kufanya malipo sh. elfu 6 kupitia namba 0765553030 au 0712202244.
 
Kitabu cha Karatasi ni sh. elfu 16 , Dar es salaam, Kinapatikana Self Help Books & Stationery iliyopo Mbezi Kibanda cha Mkaa jirani na St. Augustino Secondary (TAGASTE). 

Kuletewa popote pale ulipo Dar-es-salaam ni sh. elfu 16. (16,000/=)
Mikoa mingine yote tunatuma kwa njia ya Mabasi na gharama inajumuisha kitabu pamoja na usafiri jumla ni sh. 26,000/=
 
Bei hizi ni za OFFA bado na zitadumu kwa muda mfupi. Bei halisi ni sh. elfu 20 nakala-ngumu bila usafiri kwa elfu 10 nakala-tete/laini.

Wahi mapema nakala yako kabla ya bei hizi kubadilika.
Kama una duka au biashara yeyote ile ya rejareja, kitabu hiki ndio suluhisho la changamoto zote ndani ya biashara yako hasahasa kwenye suala la Usimamizi wa mahesabu kuzuia udokozi au hujuma  zozote zinazoweza kufanywa na wafanyakazi/wasaidizi wako.

Kuanzia mifano ya madaftari/vitabu kwa ajili ya kuwekea kumbukumbu za mahesabu ya duka lako, mifumo ya kukokotoa faida, stoku na kila aina ya taarifa zinazotakiwa kuwekwa iwe ni ile ya kidijitali (accounting systems) ama ya kawaida (manual), yoote hiyo imefafanuliwa kwa kina ndani ya kitabu hiki.

Faida na hasara za mifumo hiyo, gharama na hata urahisi wake kuitumia. Hiivyo kazi imebakia kwako tu, uamue kutumia njia au mfumo upi kulingana na mazingira yako ulipo, kwani mfumo au njia atakayotumia mwenye kioski ni tofauti na ile atakayotumia mwenye supermarket au duka la kawaida.


Mwaka huu 2024 pia tumeongeza sura nzima inayoelezea matumizi ya akili bandia (AI) kwenye biashara za rejareja, namna inavyokwenda kufanya mapinduzi makubwa kiufanisi lakini pia changamto au hatari inayoweza kuletwa na matumizi hayo ya (AI).
  • Ikiwa wewe ni mvivu wa kusoma vitabu lakini ungependa tu kutatua chap-chap tatizo la kushindwa kudhibiti mahesabu ya duka lako la rejareja, basi nakushauri kamata kitabu hiki na usome kurasa mbili tu, ule uk. wa 99 na uk. wa 100 basi!. Baada ya hapo utakuja nishukuru na hutakaa tena ulie kuibiwa na wafanyakazi au wasaidizi wako
 
  • Ndani pia kina mfumo wa kipekee kabisa, “2 IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM” nilioubuni mimi mwenyewe Peter, na uliothibitika pasi na shaka kufanya kazi kivitendo, utakaokuwezesha kuendesha duka lako bila ya STRESS zozote hasa pale unapomwachia majukumu mfanyakazi au msaidizi wako lakini wakati huohuo na wewe mwenyewe unauza dukani hilohilo. Kumbuka awali nilisema; "Ni mwiko kuuza duka moja na mfanyakazi wako" lakini mfumo huu unauvunja huu mwiko.
 
  • Masuala yote kuanzia, Chuma ulete, Ushirikina, imani mbalimbali na jinzi ya kuwavutia wateja kwa njia za kienyeji na za kisayansi zimefanyiwa utafiti wa kina mtaa kwa mtaa katika Mikoa 5 ya Tanzania na ripoti yake nzima kuwekwa wazi katika kitabu hiki uk. 35-55    .
 
  • Nimekupa pia siri moja kubwa sana ambayo watu wengi bado hawaijui, inayohusu, NYENZO KUBWA  2 ambazo kila unayeona kafanikiwa kwenye biashara ya duka la rejareja huzitumia. Kitu cha ajabu sana ni kwamba mtu akishazitumia nyenzo hizi na kuona matokeo yake bora huwa hakubali kumuambia mtu mwingine kirahisi.
 
  • Katika Ukurasa wa 10 nimeweka Ushuhuda mzito sana wa-kwangu mwenyewe kama mwandishi wa kitabu hiki (ni katika Picha za rangi) nikionyesha ‘exactly’ jinsi nlivyoanza biashara yangu ndogo ya rejareja mtaa wa Msimbazi Kariakoo nikiwa na mtaji kidogo sana lakini nikaweza ndani ya mwaka mmoja tu kumiliki duka la rejareja. Jionee biashara hiyo katika picha ilivyokuwa wiki ya kwanza kabisa nilipofungua pamoja na picha nyinginezo nyingi baadae.
 
  • Kuna shuhuda za watu wengine pia wakielezea jinsi walivyopata mitaji ya kuanzisha maduka yao kutoka chini kabisa mpaka wanafika juu, najua hutaamini kirahisi lakini ndivyo ilivyokuwa!
 

Ofa Hii ni ya Muda Mfupi!

  1. Kabla ya offa hii kumalizika jipatie NAKALA-TETE yako  kwa sh. 6,000/= tu. Lipia kwa namba 0765553030  au  0712202244 jina langu ni Peter Augustino Tarimo.
 
  1. Ukitaka NAKALA-NGUMU(Hardcopy) ni sh. 16,000/= unaletewa popote ulipo Dar es salaam na sh. 26,000/= unatumiwa kwa njia ya basi mkoa wowote ulipo Tanzania
 
  1. Kinapatikana pia kwenye application iitwayo GETVALUE unalipia kwa miamala ya simu kisha unakipakua kupitia simu yako janja. Unaweza kugoogle maneno haya >>"SIRI YA MAFANIKIO DUKA LA REJAREJA GETVALUE" kuingia kweye ukurasa wa kununua kitabu.
Agiza Kitabu toka kwangu moja kwa moja sasa hivi nikutumie mara moja kupitia namba zifuatazo hapo chini;.
Whatsap/Simu:   0712202244
 
Au :                      0765553030
Kulipia kitabu nakala tete, tumia moja kati ya namba hizo 2 zilizotajwa hapo juu, Tigo Pesa au M-pesa lakini pia kama upo Mitandao mingine unaweza kutuma kama kawaida kupitia namba hizohizo ya kwanza Tigo na ya pili Vodacom.
CHEKI HAPA CHINI WADAU

WANASEMAJE?
Mdau No. 16
Mdau No. 15
Mdau No. 14
Mdau No. 13
Mdau No. 12
Mdau No. 11
Mdau No. 10
Mdau No. 9.
Mdau No. 8
Mdau No. 7
Mdau No. 6
Mdau No. 5
Mdau No. 4
Wadau No. 2 & 3
Mdau No. 1 
Mdau No. 01
Wasiliana na Mimi nikutumie Nakala

ya Kitabu chako Sasa hivi  kwa bei

ya Punguzo.



Whatsapp/Simu: 0765553030     

Au:                 0712202244