**
“Nimeandika vitabu vingi lakini kipekee kabisa kitabu hiki nathubutu kusema kwa dhati ya moyo wangu kwamba nilichokiandika ndani asilimia 90% sijakopa mahali pengine popote pale bali ni matokeo ya uzoefu wangu binafsi wa miaka 12 katika biashara hii ya rejareja.”

- Peter A. Tarimo
Nani

Kakudanganya

duka halilipi?

 

Utaambiwa, “Oo..sijui biashara ya duka haina faida”, chuma ulete ni wengi sana, na mengine chungu nzima! Lakini usikubali ni uwongo. Mbona kila siku watu wanafungua maduka? Wengine wanajengea maduka hayohayo, wengine wananunua magari, viwanja, kusomesha watoto shule nzuri na hata wengine kupata mitaji kwa ajili ya kuanzishia biashara zingine kubwa kubwa?

Sasa Gundua siri nzito wanaozotumia wale wanaofanikiwa katika biashara hii ya maduka ya rejareja ili na wewe uweze kufanikiwa kwa urahisi.

Jipatie kitabu hiki ndani ya dakika 5 tu  kupitia baruaepepe yako kwa kufanya malipo sh. elfu 5 kupitia namba 0765553030 au 0712202244.
 
Kitabu cha Karatasi ni sh. elfu 10 , Dar es salaam, Kinapatikana Self Help Books & Stationery iliyopo Mbezi Kibanda cha Mkaa jirani na St. Augustino Secondary(TAGASTE) kituo cha bajaji MWEMBENI. Kuletewa ulipo Dar. ni sh. elfu 12.
Mikoani tunatuma kwa Mabasi ila gharama za nauli ya kukipeleka stendi na zile za basi huongezeka kutegemeana na umbali na aina ya basi.
 
Bei hizi ni za OFFA bado na zitadumu kwa muda mfupi. Bei halisi ni sh. elfu 15 nakala-ngumu kwa elfu 7 nakala-tete, hivyo wahi mapema nakala yako kabla ya bei kubadilika.
Kama una duka au biashara yeyote ile ya Rejareja, kitabu hiki ndio suluhisho la changamoto zote ndani ya biashara yako hasahasa kwenye suala la Usimamizi wa mahesabu kuzuia udokozi au hujuma  zozote zinazoweza kufanywa na wafanyakazi/wasaidizi wako.
  • Ndani kina mfumo wa kipekee kabisa, “2 IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM” uliothibitika kufanya kazi kivitendo utakaokuwezesha kuendesha duka lako bila ya STRESS zozote hasa pale unapomwachia majukumu mfanyakazi au msaidizi.
 
  • Masuala yote kuanzia, Chuma ulete, Ushirikina, imani mbalimbali na jinzi ya kuwavutia wateja kwa njia za kienyeji na za kisayansi zimefanyiwa utafiti wa kina mtaa kwa mtaa katika Mikoa 5 ya Tanzania na ripoti yake nzima kuwekwa wazi katika kitabu hiki uk. 35-55    .
 
  • Nimekupa pia siri moja kubwa sana watu wengi hawaijui, inayohusu NYENZO KUBWA  2 ambazo kila unayeona kafanikiwa kwenye biashara ya duka la rejareja huzitumia. Kitu cha ajabu sana ni kwamba mtu akishazitumia nyenzo hizo na kuona matokeo yake huwa hakubali kumuambia mtu mwingine kirahisi.
 
  • Katika Ukurasa wa 10 nimeweka  Ushuhuda mzito sana wa-kwangu mwenyewe kama mwandishi wa kitabu hiki (ni katika Picha za rangi) nikionyesha ‘exactly’ jinsi nlivyoanza biashara yangu ndogo ya rejareja mtaa wa Msimbazi Kariakoo nikiwa na mtaji kidogo sana lakini nikaweza ndani ya mwaka mmoja tu kumiliki duka la rejareja. Jionee biashara hiyo katika picha ilivyokuwa wiki ya kwanza kabisa nilipofungua pamoja na picha nyingine nyingi.
 
  • Kuna shuhuda za watu wengine pia wakielezea jinsi walivyopata mitaji ya kuanzisha maduka yao kutoka chini kabisa mpaka wanafika juu, najua hutaamini kirahisi lakini ndivyo ilivyokuwa.
 

Ofa Hii ni ya Muda Mfupi!

  1. Kabla ya offa hii kumalizika jipatie NAKALA-TETE yako  kwa sh. 5,000/= tu. Lipia kwa namba 0765553030  au  0712202244 jina langu ni Peter Augustino Tarimo.
 
  1. Ukitaka NAKALA-NGUMU(Hardcopy) ni sh. 10,000/= Katika STESHENARI YA GLORY iliyopo MBEZI KIBANDA CHA MKAA jirani na Sekondari ya St. Augustino(TAGASTE)
 
  1. Mikoani kwa njia ya MABASI gharama ya basi huongezeka pamoja na sh. elfu 2,000/= ya kukifikisha stendi ya basi. Gharama ya basi itategemea aina ya basi na umbali ulipo.
Agiza Kitabu toka kwangu moja kwa moja kupitia namba zifuatazo hapo chini;.
WHATSAPP:   0765553030
 
SIMU:               0712202244
Kulipia kitabu nakala tete, tumia moja kati ya namba hizo 2 zilizotajwa hapo juu, Tigo Pesa au M-pesa lakini pia kama upo Mitandao mingine unaweza kutuma kama kawaida kupitia namba hizohizo.
CHEKI HAPA CHINI WADAU

WANASEMA NINI?
Mdau 1
Mdau 2.
Mdau 3
Mdau 4
Mdau 5
Mdau 6
Mdau 7
Wadau 7 & 8
Mdau 9
Mdau 10
Wasiliana na Mimi nikutumie Nakala

ya Kitabu chako Sasa hivi  kwa bei

ya Punguzo.Whatsapp: 0765553030     

Simu:  0712202244